Mtibwa(Manungu), Ruvu(Mabatini), na Mwadui(Mwadui Complex) viwanja vyao havina Majukwaa, Wakijenga, Msimu ujao Simba na Yanga wataenda kucheza, wasipojenga Mwaka huu basi msimu ujao hawatoruhusiwa kutumia viwanja hivyo hata kwa mechi ndogo. hii ni kwa mujibu wa TFF