Nani kafariki mkuu?Hivi hamja jiongeza tu? tupo kwenye majonzi
Sasa hivi Kuna uvumi unaenea kwa Kasi kiongozi mkubwa nchi hii tayari ........., na kwamba eti wanajipanga kutangazaNani kafariki mkuu?
sawa NadaWe vipi, majonzi ya nyumbani kwenu au? Tafadhali usitutoe kwenye nada!
Nenda mahakamani ukadai haki yakoKama una majonzi ni wewe,, sisi tunataka mnyama amle msudani.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwa sababu kote kwingine mashabiki hawaruhusiwi kwa ajili ya corona. Wanaona simba ana faida ya ziada. Ili kuweka usawa na hapa mashabiki wasiingie uwanjani. Hata kocha wa Al Ahly alilalamika Sana.Nimeuliza mkuu, kwanini washabiki wamezuiwa?
Utopolo utamjua tu!Hivi we Nani kakurogaa ukiambiwa kuna Corona htaki kuelewa
Kwahiyo mnataka mjazaje Kama mango'mbee? Kwenye dewa
Sasa hakuna kuweka Tv kubwa wala Tv ya Chogo
OVER