Simba vs Everton itaonyeshwa channel gani hapa bongo

Simba vs Everton itaonyeshwa channel gani hapa bongo

Hii ndio timu iliyochukua ubingwa wa ligi Tanzania?

Kweli Tanzania tajaribu michezo mingine!

Gor ni kama wanafanya mazoezi vile.
 
Simba kalowa kwa maji ya kikombe,
bila shaka kesho watakuwa mjengoni kupeleka ushindi wa pili [emoji102]
 
sijaona kombe la mshindi wa pili pale uwanjani,haya kesho mpeleke mikono tupu bungeni.
 
Mimi sio mshabiki wa simba ila naona mechi ya simba na everton itakuwa nzuri sana. Sioni kama gor mahia anaweza kuwafunga hawa machampioni wa TZ. napendekeza kikosi hiki dhidi ya everton. Kama una cha kuongezea ongezea pls

1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Paul Bukaba
5. Erasto Nyoni
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Haruna Niyonzima
9. Mohammed Rashid
10.Rashid Juma
11. Mzamiru Yassin

Bench
Kwasi
Boko
Okwi
Mpilipili
Juko
ni kwenye Ndondo cup au kombe gani ?
 
Kudadadeq . Sasa subiria hyo mechi yako ya Mikia na Everton.. HV ulidhani England wanaenda kwa matako.. Ety
 
Back
Top Bottom