Tayari wameshatobolewa tunduLeo wananyolewa
Hakika taifa Leo limedhalilishwaHii ndio timu iliyochukua ubingwa wa ligi Tanzania?
Kweli Tanzania tajaribu michezo mingine!
Gor ni kama wanafanya mazoezi vile.
Wametobolewa matundu mawili, ngoja nishangilie kwa kuagiza kilo ya Noah nishushie na Ka Serengeti lite, asante Mungu, asante Gor MahiaMatundu FC, bora mmetolewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mleta mada upooo?
vipi leo hamkuliona kombe uwanjani au mlidhani mnacheza na mbao fc.Mkuu simba kama madrid. Wakiona kombe uwanjani hakuna wa kimzuia
Kweli kabisa tumeona SSC 0 - 2 GorMkuu simba kama madrid. Wakiona kombe uwanjani hakuna wa kimzuia
ni kwenye Ndondo cup au kombe gani ?Mimi sio mshabiki wa simba ila naona mechi ya simba na everton itakuwa nzuri sana. Sioni kama gor mahia anaweza kuwafunga hawa machampioni wa TZ. napendekeza kikosi hiki dhidi ya everton. Kama una cha kuongezea ongezea pls
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Paul Bukaba
5. Erasto Nyoni
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Haruna Niyonzima
9. Mohammed Rashid
10.Rashid Juma
11. Mzamiru Yassin
Bench
Kwasi
Boko
Okwi
Mpilipili
Juko