Simba Vs Kagera Sugar. Yanga Vs Jkt Ruvu tukutane Hapa

Simba Vs Kagera Sugar. Yanga Vs Jkt Ruvu tukutane Hapa

Mpira umeisha simba kagera 1-0
 
Yanga leo wanashinda 4 kwa mujibu wa hesabu nlizopewa na wadau. hali kwa upande wa Simba ni ngumu mpaka muda huu. sikuwepo hewani nashukuru WAdau wengine wanaleta updates,


Mkuu unatisha. Huyo jamaa yako aliyekuambia anatisha! Hongera yenu!

FT Yanga4-JKT0
 
Nashukuru umeweza kunipongeza ingawa wengine hawakutaka kulikumbusha hili jambo kama vile hawakuliona nilipotabiri kuwa yanga wanashinda 4 .
 
Back
Top Bottom