Nani katupia LA 3???yanga 3 jkt 0
Kaifiwa sana hadi anaanza kuharibu sasaajib anakosa penalty
Nangwanda vipi matokeo?
Labda hawakuwepo mpirani na huko mtwaraThe big show, Sinzinga kimyaaa au mambo ya michezo hawayajui
FT: Kagera Sugar 0-Simba 1
Ngoma DonaldNani katupia LA 3???
Kukosa penati sio issue ya kusifiwa, wanakosa kina mess,ronaldo,Rooney sembuse ajibuKaifiwa sana hadi anaanza kuharibu sasa
Yanga leo wanashinda 4 kwa mujibu wa hesabu nlizopewa na wadau. hali kwa upande wa Simba ni ngumu mpaka muda huu. sikuwepo hewani nashukuru WAdau wengine wanaleta updates,
1 - 1 mpaka mwishoNangwanda vipi matokeo?
hahahaah kabisaKukosa penati sio issue ya kusifiwa, wanakosa kina mess,ronaldo,Rooney sembuse ajibu