Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Sababu azam ni tawi la simba, watakaza sana mwisho watalegea. Ligi bado mtani usishangilie kabla
Hao wanajulikana kwa kuwa na matawi mengi,hasa timu zenye wamiliki wenye vinasaba vya uajemi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu azam ni tawi la simba, watakaza sana mwisho watalegea. Ligi bado mtani usishangilie kabla
Sikia ndugu...., siku hizi hapa bongo hakuna timu zenye matawi, ila kuna mamluki katika timu hizo, kwa hiyo kushinda au kushindwa kwa Azam leo kutategemea na nguvu ya mamluki itakayokuwepo kwenye starting line up yao. Mamluki ni tatizo kwenye timu hizi, kuanzia wachezaji mpaka viongozi. Timu nyingi ndogo hufa kwa sababu hii ya mamluki, hivyo ukishindwa kudhibiti mamluki huna chako kwani hata uwe na uwanja mkubwa kama Camp Nou mafanikio ni ndoto.Hao wanajulikana kwa kuwa na matawi mengi,hasa timu zenye wamiliki wenye vinasaba vya uajemi.