Hakuna Formula kama hii kwenye Soka Kamanda!Hizo timu mbili ulizozitaja tukianza na mtibwa tokea mwaka huu wa 2019 uanze hajashinda hata mechi mmoja na huyo kagera yupo nafasi za kushuka daraja na kina biashara: lakini pia ujue alliance utakayecheza nae hajapoteza mechi hata mmoja kwao
Wanasemaga "Msambaa mmoja huwa havunji soko" Hivyo akitaka kuenda aende tu sababu timu ya wananchi ipo na hata kabla yake timu ya wananchi ilikuwepo.
Oooh. Haya bana Mtani.Sikumbuki ilikuwaje ila tulicheza fainali na game ya ligi ya MABINGWA tulishinda.
Ha ha ha ha nisingekukuta humu ningeshangaa Unavyoipenda Simba sasaWale watani zangu sogeeni kipande hii kuna habari zenu.
Aibu nimeona mimi. lol. 🙈🙈Ha ha ha ha nisingekukuta humu ningeshangaa Unavyoipenda Simba sasa
Kuna utofauti sana kati ya timu ya wananchi na timu ya nchiWanasemaga "Msambaa mmoja huwa havunji soko" Hivyo akitaka kuenda aende tu sababu timu ya wananchi ipo na hata kabla yake timu ya wananchi ilikuwepo.
Wadogo tena? Simba hii Yanga anashukuru kupigwa 1-0.Mkuu nimejikuta nacheka hayo maneno yako. Duuh.
Naona mmeanza kuwa wadogo Mkuu. [emoji12]
Hata aje Barcelona, itakuwa Lipuli ya Iringa?Huu ndio ukweli MCHUNGU ! Matola ana roho ngumu sana kwa Timu yake !
Wala hujakosea kabisa. Simba anashukuru kupigwa tano tu kule Congo.Wadogo tena? Simba hii Yanga anashukuru kupigwa 1-0.
Ile Tuliwakopamo😛
Tuko ligi ya home mkuu, ukitaka kuongelea CAF Champions Yanga hayumo.Wala hujakosea kabisa. Simba anashukuru kupigwa tano tu kule Congo.
Sawa Mkuu. Tubakie kwenye ligi. Kesho kijana wenu Matola hakuna shida.Tuko ligi ya home mkuu, ukitaka kuongelea CAF Champions Yanga hayumo.
Hapo umenena mtani.. Ila toeni michango mkuu Zehera anawasisitizia sanaWanasemaga "Msambaa mmoja huwa havunji soko" Hivyo akitaka kuenda aende tu sababu timu ya wananchi ipo na hata kabla yake timu ya wananchi ilikuwepo.
Shida Ipo mkuu,. Hawa watoto toka wapande ligi kuu Wanatubishia sanaSawa Mkuu. Tubakie kwenye ligi. Kesho kijana wenu Matola hakuna shida.
Mtani hivi Kipindi cha Yusuf Manji nyie mlikuwa mnanunua Mechi chini ya Malinzi??Achukue mara ngap..? Wanakamilisha ratiba tu mikia wamenunua marefa,timu pinzani n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ukweli MCHUNGU ! Matola ana roho ngumu sana kwa Timu yake !
Hawa wa mkiani ndio Ving'ang'anizi Mkuu.. Inatakiwa kama ni kuponda tuwaponde kichwani kabisa kama nyokana msimu huu hayupo vizuri yupo mkiani uko Ana burazana na kina biashara
Bado mtibwa na kagera sugar.hizi timu huwa ni mwiba Kwa simba.hasa kagera sugar akiwa kwao huko kaitaba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wa mkoa Yanga kulialia ..atawatupa ndani Mikia Na LipuliMechii hii simba amenunua au hajanunua? Nataka nijue kabisa ili baada ya matokeo kusiwepo na midomo midomo kua imenunua mechi
Sent using unknown device