Hakuna wa kuizuia simba ubingwa nji hii. Vyura walietu. Ukweli mchungu. Maana hata wakipata nafasi ya kuwakilisha nchi wanatia haibu. Tunataka timu itakayo itendea haki tanzania kimataifa
wanataka ubingwa wa nini? Wakati hata pesa zakuendeshea timu ni shida? Michezo ya kimataifa ina itaji pesa za maandalizi. Ununue wachezaji wazuri. Sasa yanga mtawezea wapi watani zangu?
jipangeni kwanza achaneni na fikra za mzee akili mali. Badilisheni mfumo kuwa kampuni ile tabia yakutegemea kudoea klabuni ndio imeifanya yanga kuwa omba omba. Watu hawataki timu iwe kampuni maana watakufa njaa.
alafu yule jamaa mnaye safiri nae kama mushabiki nguli. Mnamwamini kweli? Mtu anaacha familia yake halipwi. Anachangisha pesa majukwaani jana kwa majaliwa mgambo wamemtoa baru naona alidokoa mboga ya watoto. Mwangalieni pengine ndio kapata ulaji wa kudokoa michango.