Simba VS Lipuli...Kiporo kigumu sana

Basi simba watume mpesa wachukue tu kombe lao, maana ishaonekana wazi hakuna club yenye kumzidi simba kifedha

Sent using unknown device
Omba omba FC lile kapu lao wanalopitishaga uwanjani na yale matangazo Azam TV watakua sasa na utajiri mara 10 zaid ya Simba
 
Ligi kuu tanzania bara kuendelea tena leo majira ya saa kumi

Lipuli fc vs simba sc wakipapatuana uwanja wa samora iringa.

Team hizo zimekutana mara tatu na michezo yote ilimalizika kwa sare.

Nini utabiri wako? Simba wataambulia sare tena au kitambaa hakitatosha?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo hutaki kuja na mbwembwe za ile match na Azam maana siku ile uliambulia kichapo.
Taratibu wote mtakuwa wapole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…