Yaani upoteze muda wako kuangalia bongo movies ambazo hazina viwango eti kisa uzalendo wa nyumbani?Bora nisirud, ila siwez kusalit chama la mtaani kwangu kisa simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Tarehe 16 Timu ambayo inasadikika kua ni ya wananchi ilipigwa kipigo kibaya na timu ya nchiTarehe 16 ni siku ya kitaifa kwa mwaka huu.
Lipuli 1-2 Simba.Lipuli tunakuwaga na hasira na simba utadhan hawapo ruaha
Linarud hilo la pl
acha umama kotei ni first eleven hayupo nyoni kapona hayupo juuko murshid hayupo n what about niyonzima
Kumbe unatambua Simba wana mziki eee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Upo...Wale watani zangu sogeeni kipande hii kuna habari zenu.
Uzalendo wa dua kdg ShadeeyaYah. Kama hiki cha Lipuli nacho si haba Mtani.
Mnaeza pata matokeo ila mkayapata kwa tabu sana.
Ngapi ngapi dadaYah. Kama hiki cha Lipuli nacho si haba Mtani.
Mnaeza pata matokeo ila mkayapata kwa tabu sana.