Simba vs mshindi wa 3 club bingwa wa dunia

Simba vs mshindi wa 3 club bingwa wa dunia

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,572
Reaction score
3,726
Ni mechi ya simba kuweka record mpya
1. Al ahly baada ya kufungwa na fc buyern tu hakuna club nyingine yoyote imeifunga zaidi ya simba
2. Al ahly ndio safari yake ya kwanza kutoka baada ya mechi zake za club bingwa duniani
3. Simba kuifunga club ya tatu bora duniani- ambapo barcelona, madrid, man city, psg, hawafikii kiwango cha club ambayo simba wanaenda kuifunga hiyo tarehe 23. simba wanaweka record zake na kuzivunja. hala simba sc
 
Uzi makini huu.
Simba tutawakalisha wajukuu wa Firauni trh 23.
Simba Nguvu Moja.
 
Yaani kama mbumbumbu wanataka kushinda hii mechi, safari hii waingie uwanjani na fisi! Ila kwa kumtegemea yule paka wao, sidhani hata sare kama watapata.
 
Back
Top Bottom