H huko kwenu vipi JF-Expert Member Joined Jun 4, 2015 Posts 1,520 Reaction score 1,462 Aug 13, 2017 #1 Habar wanajamvi..... Npo naangalia mechi yaana simba Leo wanapwaya..... Mipango yao haizai matunda....
Habar wanajamvi..... Npo naangalia mechi yaana simba Leo wanapwaya..... Mipango yao haizai matunda....
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Aug 13, 2017 #2 Fb?
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Aug 13, 2017 #3 Mtibwa wanajitahidi sio kama Yanga
H huko kwenu vipi JF-Expert Member Joined Jun 4, 2015 Posts 1,520 Reaction score 1,462 Aug 13, 2017 Thread starter #4 Simba tuna tatizo la umaliziaji.... Hutuna forward mzuri....
K kakonge4 Senior Member Joined Feb 28, 2017 Posts 142 Reaction score 157 Aug 13, 2017 #5 Nchi yenye watu milioni 50 inashindwa kupata fowadi nzuri kwenye klabu na timu ya taifa.Hii inasikitishs sana na ni kipimo sahihi kuwa uwekezaji wetu kwenye soka ni wa kubabaisha. Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi yenye watu milioni 50 inashindwa kupata fowadi nzuri kwenye klabu na timu ya taifa.Hii inasikitishs sana na ni kipimo sahihi kuwa uwekezaji wetu kwenye soka ni wa kubabaisha. Sent using Jamii Forums mobile app
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Aug 13, 2017 #6 Weka kikosi cha leo mkuu cha Simba..