SIMBA Vs MTIBWA

SIMBA Vs MTIBWA

huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
1,520
Reaction score
1,462
Habar wanajamvi.....

Npo naangalia mechi yaana simba Leo wanapwaya.....

Mipango yao haizai matunda....
 
Nchi yenye watu milioni 50 inashindwa kupata fowadi nzuri kwenye klabu na timu ya taifa.Hii inasikitishs sana na ni kipimo sahihi kuwa uwekezaji wetu kwenye soka ni wa kubabaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom