king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,033
Fuatilia Instagram ndo utajua yanayojiri kwa mashabiki wenzio wa NYAU FCUkweli mashabiki wa simba wamekomaa sana kimichezo kwa sasa wanajua kabisa katika mpira kuna kushinda na kushindwa hawana hofu timu imepoteza lakini wako kimya na maisha yanaendelea ingekuwa kagera shuga hapa wangemfuata kocha waliemfukuza guest na kuanza kumrushia chupa za maji kisa kagera shuga imefungwa
Kimewaka tayari!Fuatilia Instagram ndo utajua yanayojiri kwa mashabiki wenzio wa NYAU FC
Kweli inatisha na leo ndio nimeamini Umbumbumbu ni kipajiNdio hayo hayo mkuu simba hii inatisha.
TutawazidiYanga ikishinda mechi zote za viporo inakuwa pointi sawa na mikia!