Jana kwenye michezo, M/kiti wa simba alieleza wazi kuwa anakusudia kuwa na kikao na kamati kuu kisha wanachama wa simba ili kuomba baraka ya kujitoa kwenye ligi kuu bara, naomba wana JF mliopo jirani na mitaa ya msimbazi mnijuze mchakato huu unaendeleaje:baby: