Simba vs rage kuhamia zanzibar premier league

Simba vs rage kuhamia zanzibar premier league

Kwa heshima ya Comrade Ismail Aden Rage, naomba huu uzi ukimbie tafadhali.

Kama kuna mtu wa kuwaita mbumbumbu wale mashabiki, awaite tu kwenye huu uzi. Maana hakuna namna nyingine.
 
2012 watu wengi walikuwa hawatumii jamiiforum na wachache walijikita zaidi kwenye jukwaa la siasa na mahusiano
 
Rage kwenye ubora wake yeye nimwenyekiti wamuda wote wambumbumbu
Huu uzi mbumbumbu wanaupita kimya kimya!! Yaani kama hawauoni vile. Sijui wamepatwa na mshtuko baada ya kuona Mwenyekiti wao mstaafu alitaka kuwahamishia Ligi ya Zanzibar!
 
Duh na hapo injinia alikuwa anasoma bado, Pacome, YaoYao na Aziz Ki walikuwa hawajakutana na Gamondi.
Rage alikiona kiama mapema
 
Jana kwenye michezo, M/kiti wa simba alieleza wazi kuwa anakusudia kuwa na kikao na kamati kuu kisha wanachama wa simba ili kuomba baraka ya kujitoa kwenye ligi kuu bara, naomba wana JF mliopo jirani na mitaa ya msimbazi mnijuze mchakato huu unaendeleaje👶
Aahaaaa
 
Back
Top Bottom