Simba vs rage kuhamia zanzibar premier league

Nafikiri huu ndiyo Uzi kuwa na comment chache sana kulinganisha na muda wa Uzi kuwa hewani
Uzi ulianzishwa sept 2012 lakini haukuwahi kupata comment hata moja Hadi sept 2023 yaani miaka 11 baadaye?
Hii ni rekodi.
 
Huu ni wakati muafaka sasa kwa simba kuhamia Ligi ya Zanzibar, ili wakapambe na akina KMKM. Huku Bara waachie Yanga na Azam kutawala.

Rage, ni wakati wako huu wa kupeleka huu ushauri kwa Mangungu ilo ufanyiwe kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…