Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Uzi ulianzishwa sept 2012 lakini haukuwahi kupata comment hata moja Hadi sept 2023 yaani miaka 11 baadaye?Nafikiri huu ndiyo Uzi kuwa na comment chache sana kulinganisha na muda wa Uzi kuwa hewani
Hii ni rekodi.