Simba vs ruvu shooting: Hii Sasa ndio fixed match

Mkuu acha uongo boxer amecheza mechi nyingi katika nafasi ya beki wa kulia na huyo Gyan akiwa singida hajawahi kucheza namba 2 .

Unaposema Wawa hajaanza mbona ni mechi ya 4 ya singida Wawa haanzi .

Tunafwatilia mpira vizuri huwezi tudanganya kirahisi hivi.

Hakuna kitu kinaitwa match fixing Tz ni upumbavu tu wa mashabiki kulinganisha kua wakiona timu imetoa draw na Simba basi wanaamini Yanga nayo atatoa nayo draw.
 
kwa mpira huu wa ruvu ntawashangaa sana mashabiki wa simba wasiposema tumenunua hii mechi....mdomo koma mashabiki wa simba
 
Nisiwachoshe msinichoshe
Endeleeni kuangalia mchezo wa danganya toto, magoli zaidi yatafata kipindi cha pili

TFF, bodi ya ligi, takukuru kazi kwenu mimi nimekaa [emoji117][emoji117][emoji117]
Hawa ruvu ni lini waliwahi kuwazidi simba uwanjani.....walishapigwa mpaka saba
 
Azam kabla ya kushinda game ya juzi mara ya mwisho kumfunga Simba unakumbuka
Simba ilikuwa timu Bora hapo miaka michache nyuma ndio maana hatukulalamika ila Simba hii ambayo haiwezi piga pasi 10 itaifunga timu gani??? Huoni dalili zooote za muamala mkuu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…