Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
Mpira ulishaisha kabla haujachezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Kwenye ngao ya hisani Cham hakuwepo? Na ile mechi mliyofungwa na Azam pia Chama hakuwepo?Chama amerejea sasa utopolo lazima walie sana.
Timu zipo 16. Azam na Yanga nazo zilishapigwa 4 na mnyama, tena Yanga hadi 5 amepigwa, kwa hiyo mnawalaumu Ruvu bureMtaishia kuzifunga timu hizi hizi mnazoweza kuzinunua ila Azam na Yanga watawanyanyasa sana na vikombe wataendelea kuwanyang'anya
Sio kama, ni wameambiwa wasimame ikiwezekana wapishe kabisaa.. refarii yupo magoli ya offside yanafungwa anaweka kati.. Hawa nafasi ya tatu ni halali Yao maana hawana mpira wa kuifunga timu yoyote bila kutembeza bahasha[emoji81][emoji81]magoli yame kaa kimchongo wachezaji wa ruvu kama wana ambiwa wasimame vile
Inabidi uzitafute mechi za hivyo kwa tochiHivi Kwenye ngao ya hisani Cham hakuwepo? Na ile mechi mliyofungwa na Azam pia Chama hakuwepo?
Izo Zilipendwa... Saivi hamna uwezo wa kuifunga Yanga hata goli 1 kwa bilaTimu zipo 16. Azam na Yanga nazo zilishapigwa 4 na mnyama, tena Yanga hadi 5 amepigwa, kwa hiyo mnawalaumu Ruvu bure
Kwa hiyo tushike lipi, refarii anawabeba Simba au Ruvu wanaachia wafungwe? Maana hapo ni dhahiri umevurugikiwaSio kama, ni wameambiwa wasimame ikiwezekana wapishe kabisaa.. refarii yupo magoli ya offside yanafungwa anaweka kati.. Hawa nafasi ya tatu ni halali Yao maana hawana mpira wa kuifunga timu yoyote bila kutembeza bahasha
Unajua maana ya match fixing??? Halafu umeumizwa sana kinachoendelea?? Mbona kila nachofanya unani quote?? Huna kazi ya kufanya???Kwa hiyo tushike lipi, refarii anawabeba Simba au Ruvu wanaachia wafungwe? Maana hapo ni dhahiri umevurugikiwa
Mkuu unatazama Simba ipi ambayo haipigi pasi 10Simba ilikuwa timu Bora hapo miaka michache nyuma ndio maana hatukulalamika ila Simba hii ambayo haiwezi piga pasi 10 itaifunga timu gani??? Huoni dalili zooote za muamala mkuu???
Huyo Ihefu amefungiwa kiwanja chake kwa vile utopolo mna kiporo naye,mkishamaliza kiporo kiwanja kinafunguliwa.Nimeshangaa sana!hawa watu waliohangaika kumfunga ihefu wa mwisho kagoli kamoja eti leo wanashinda goli 2 ndani ya dkk 20![emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kocha wenu muulizeni huwa anakula ngapi siku nyingine.kwa mpira huu wa ruvu ntawashangaa sana mashabiki wa simba wasiposema tumenunua hii mechi....mdomo koma mashabiki wa simba