Simba vs ruvu shooting: Hii Sasa ndio fixed match

[emoji81][emoji81]magoli yame kaa kimchongo wachezaji wa ruvu kama wana ambiwa wasimame vile
 
Mtaishia kuzifunga timu hizi hizi mnazoweza kuzinunua ila Azam na Yanga watawanyanyasa sana na vikombe wataendelea kuwanyang'anya
Timu zipo 16. Azam na Yanga nazo zilishapigwa 4 na mnyama, tena Yanga hadi 5 amepigwa, kwa hiyo mnawalaumu Ruvu bure
 
[emoji81][emoji81]magoli yame kaa kimchongo wachezaji wa ruvu kama wana ambiwa wasimame vile
Sio kama, ni wameambiwa wasimame ikiwezekana wapishe kabisaa.. refarii yupo magoli ya offside yanafungwa anaweka kati.. Hawa nafasi ya tatu ni halali Yao maana hawana mpira wa kuifunga timu yoyote bila kutembeza bahasha
 
Timu zipo 16. Azam na Yanga nazo zilishapigwa 4 na mnyama, tena Yanga hadi 5 amepigwa, kwa hiyo mnawalaumu Ruvu bure
Izo Zilipendwa... Saivi hamna uwezo wa kuifunga Yanga hata goli 1 kwa bila
 
Sio kama, ni wameambiwa wasimame ikiwezekana wapishe kabisaa.. refarii yupo magoli ya offside yanafungwa anaweka kati.. Hawa nafasi ya tatu ni halali Yao maana hawana mpira wa kuifunga timu yoyote bila kutembeza bahasha
Kwa hiyo tushike lipi, refarii anawabeba Simba au Ruvu wanaachia wafungwe? Maana hapo ni dhahiri umevurugikiwa
 
Kwa hiyo tushike lipi, refarii anawabeba Simba au Ruvu wanaachia wafungwe? Maana hapo ni dhahiri umevurugikiwa
Unajua maana ya match fixing??? Halafu umeumizwa sana kinachoendelea?? Mbona kila nachofanya unani quote?? Huna kazi ya kufanya???
 
HAT TRICK YA BOKO INATAMBULIKA FIFA NA CAF[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba ilikuwa timu Bora hapo miaka michache nyuma ndio maana hatukulalamika ila Simba hii ambayo haiwezi piga pasi 10 itaifunga timu gani??? Huoni dalili zooote za muamala mkuu???
Mkuu unatazama Simba ipi ambayo haipigi pasi 10
 
Nimeshangaa sana!hawa watu waliohangaika kumfunga ihefu wa mwisho kagoli kamoja eti leo wanashinda goli 2 ndani ya dkk 20![emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Huyo Ihefu amefungiwa kiwanja chake kwa vile utopolo mna kiporo naye,mkishamaliza kiporo kiwanja kinafunguliwa.
Itakuwa hivyo kwa Coastal ambapo mtacheza Arusha siku zote kisha kiwanja kinafunguliwa
 
Mtoto wa kiume punguza wivu
 
kwa mpira huu wa ruvu ntawashangaa sana mashabiki wa simba wasiposema tumenunua hii mechi....mdomo koma mashabiki wa simba
Kocha wenu muulizeni huwa anakula ngapi siku nyingine.
Anapigwa misumari ya moto mtu mwingine,anapepesuka mtu mwingine
 
Jana Namba 9 wa Young Africans Fiston Mayele alifunga gori 3, Leo namba 9 wa Simba John Boko pia amefunga gori 3, beki mbili wa Yanga Shomari, K akafunga gori 1 na Leo beki 2 wa Simba Shomari, K amefunga gori 1 what a coincedence??
 
Nchimbi leo ndo anaonekana kabisa kuwa mechi imeuzwa, angalia goli la pili na la tatu la boko utaelewa ninachokisema.Achilia mbali goli la kwanza ambalo ni wazi kuwa Boko alikuwa katika eneo la kuotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…