Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Mh kwa uchezaji huu sidhani km Simba atakuwa na jipya msimu huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wameshashinda hapo naona hakuna kusawazisha utaniambia mwisho japo siangalii game nijuavyo tz timu hazina uwezo wa kufosiNakuona Masao Bwire umefurahiiii lakn mpira dk 90
Tulicheza jana na kushindaNakuona Masao Bwire umefurahiiii lakn mpira dk 90
Biriani la Sumbawanga limeisha chacha. Watu wanaendesha mwanzo mwisho. Mzungu wa Nguruka sijui atasemaje leo?Leo linapigwa pira gani,biriyani, kababu au pira nungunungu?
Ulibeti sio?Muddy mwenyewe anabetiSimba wameanza kuzingua inaelekea hawapati mshahara, wameruhusu bao la makusudi kabisa, matimu ya bongo bwana
Ht washapigwa mikia,tunasubiri half ya piliSimba hawawezi kukubali kupoteza Point nyumbani Kwa timu Kama Ruvu,hasa wakizingatia wametoka kupoteza mechi iliyopita.
Ruvu shooting wanaongozwa na Mkwasa,ambaye kivyovyote vile akipata point mbele ya Simba atakuwa na furaha mara mbili(hili halihitaji maswali mengi).lolote linaweza kutokea,ingawa natamani na leo wapigwe.
Pole mkuu [emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]Simba huu upuuzi msitufanyie kabisa. Kama hamlipwi mishahara bora semeni sio mnatuaibisha mbele z wake zetu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji850][emoji850][emoji850] eeeh Morrison kaingia subr tuoneLeo ni pira papaso, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mikia fc
Leo awa wazee kwenye defence ya Simba wamekutana na namba tisa wa kuwa challenge Fulu zuru Maganga ni namba tisa mwenye mwili, nguvu na kasi wazee wanapatashida kwelikweli sijui kama mpira ukiisha watapata muda wa kwenda kuvuta kiko.
Mungu asaidie na Leo wapigwee, ili wafarakaneee[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji850][emoji850][emoji850] eeeh Morrison kaingia subr tuone
Haya tuingie kwenye maombi maana mm natamani mpira uishe[emoji49][emoji49][emoji49]Mungu asaidie na Leo wapigwee, ili wafarakaneee[emoji3][emoji3]