Simba vs Sevilla tutaiona game leo kupitia Tv?

Simba vs Sevilla tutaiona game leo kupitia Tv?

Sasa mbona mechi za Simba,Yanga na Singida Azam anaonyesha wakati kifuani kwenye jezi ya hizo team kuna maandishi ya Sportpesa?au ndio unakula mchuzi lakini nyama hauli
 
Kinachoendelea super sport ... S8 channel 208

Under 20 FIFA wc live Mexico Vs Italy
 
Azam sidhani..si wanasema eti Sportpesa ni kampuni ya kamari..kwahiyo sidhani kama wataonesha..(nilisikia kipindi kile cha michuano ya sportpesa)
Bora waje washindani wengine wa tv waonyeshe ligi ya bongo, azam naona anaingiza dini kwenye chaneli zake mara kamari, pombe mbona anaonyesha ligi za ulaya ambazo hizo kamari zipo
 
Kinachoendelea super sport ... S7 channel 207

Under 20 FIFA wc live Tahit Vs Senegal
 
Mwisho wa mchezo

Simba 4 - 5 Shadeeya

👏👏👏👏👏👏
 
Mshabiki pekee ambaye ametoka kifua mbele Shadeeya

😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom