Daa mkuu hii [emoji116]
Bora waje washindani wengine wa tv waonyeshe ligi ya bongo, azam naona anaingiza dini kwenye chaneli zake mara kamari, pombe mbona anaonyesha ligi za ulaya ambazo hizo kamari zipoAzam sidhani..si wanasema eti Sportpesa ni kampuni ya kamari..kwahiyo sidhani kama wataonesha..(nilisikia kipindi kile cha michuano ya sportpesa)
Siyo mbona
Mjifunze kuucheza kama wa playstation vyura nyieInatusaidia nini hii mechi sisi wananchi?
Ndo sielewi mkuu labda watarukia uwanjani nakukatisha kipindi cha Laliga sport pesa
Fixed game...
Makampuni yanapiga pesa tu
True kabisa hizi mechi ndo sportpesa anarudisha pesa za mikeka yote aliyoliwa msimu huu. [emoji1787][emoji1787] fixed game kabisa hii
πππ