Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mkuuHii game imechezwa nje ya uwanja...
Hivi kwa nini kila kitu mnakimbilia nje ya uwanja?,Hii game imechezwa nje ya uwanja...
1 - 0Ngap ngap
Refa anaua mashambulizi ya Simba...Hivi kwa nini kila kitu mnakimbilia nje ya uwanja?,
Kwamba Toto wamewahonga Simba ama?...
Kama ni ile red card ya Kessy...Refa hakukosea..Ni foul mbaya, adhabu ni straight red card..
Simba mwaka huu sio wenu tena..Jipangeni mwakani labda
Bado sana kuitoa simba katika mbio za ubingwaHivi kwa nini kila kitu mnakimbilia nje ya uwanja?,
Kwamba Toto wamewahonga Simba ama?...
Kama ni ile red card ya Kessy...Refa hakukosea..Ni foul mbaya, adhabu ni straight red card..
Simba mwaka huu sio wenu tena..Jipangeni mwakani labda