Simba vs Toto Africa

Dakika ya 65: Toto wanacheza kwa kujiamini kutokana na Simba kuwa pungufu.
 
Toto ebu wapigen cha pili hao mbulu kenge!
 
Simba wanatia huruma!!!!wanabaki kulalamika tu kama yatima. Kiukweli muna kikosi kibovu sana na msipofanya marekebisho mtazidi kulalamika kila siku.
 
Dakika ya 72: Toto wanafanya mabadiliko, anatoka Edward Christopher anaingia Japhet Vedastus.

Simba 0 - 1 Toto Africa
 
Dakika ya 75: Ibrahim Ajib anapewa kadi ya njano kwa kumfokea mwamuzi wa pembeni
 
Dakika ya 79: Ajibu anachukua mpira vizuri anatoa pasi ya kisigino kwa Mkude ambaye anapiga shuti linapaa juu ya lango la Toto.
 
Hivi kwa nini kila kitu mnakimbilia nje ya uwanja?,

Kwamba Toto wamewahonga Simba ama?...

Kama ni ile red card ya Kessy...Refa hakukosea..Ni foul mbaya, adhabu ni straight red card..

Simba mwaka huu sio wenu tena..Jipangeni mwakani labda
Refa anaua mashambulizi ya Simba...
 
Hivi kwa nini kila kitu mnakimbilia nje ya uwanja?,

Kwamba Toto wamewahonga Simba ama?...

Kama ni ile red card ya Kessy...Refa hakukosea..Ni foul mbaya, adhabu ni straight red card..

Simba mwaka huu sio wenu tena..Jipangeni mwakani labda
Bado sana kuitoa simba katika mbio za ubingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…