Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
anyway .. siyo mbaya toto wakiisaidia yanga kama vile ambavyo coastal walivyotutia tough.
Kawaida. Ila ubingwa upo msimbaziWenye timu mnajikausha,mshakalia kimoja huko
Ahahaaaa safiiiLeo lazima nile ugali kwa mlenda. Karoho keupe peeeee
We utakuwa wa Tabora.Leo lazima nile ugali kwa mlenda. Karoho keupe peeeee
Kwa nini mkuu?We utakuwa wa Tabora.
Duh, aiseeeeee.Kawaida. Ila ubingwa upo msimbazi