Simba vs Toto Africa

Viporo vya mikia vimechacha haviliki tena
 
bora man aisee sio hii chelsea yangu, kutoka ubingwa hadi nafasi ya kumi doh
Ila kweli ndugu yangu pole haya mambo yanakera sana ukiangalia kikosi mlichochukua ubingwa hakajavurugwa sana sasa why muwe na matokeo mabaya msimu huu unakosa jibu.
 
Ila kweli ndugu yangu pole haya mambo yanakera sana ukiangalia kikosi mlichochukua ubingwa hakajavurugwa sana sasa why muwe na matokeo mabaya msimu huu unakosa jibu.
hata game siku hizi siangalii, mou angekuwepo nahisi tungewafuata villa
 
Hivi kwa nini kila kitu mnakimbilia nje ya uwanja?,

Kwamba Toto wamewahonga Simba ama?...

Kama ni ile red card ya Kessy...Refa hakukosea..Ni foul mbaya, adhabu ni straight red card..

Simba mwaka huu sio wenu tena..Jipangeni mwakani labda
Waende kwa Samson, man of influence a.k.a dr mwaka
 
Hayooo yamekaa wiki mbili bila kucheza sasa yamepoteza momentum
Ile ilikuwa inawasaidia, wakaamua kugoma ili kushindana na Yanga na Azam walio na mechi za kimataifa. Sasa itapigwa hadi mwisho wa ligi mbafu zenyu
 
Ha ha ha maneno kuntu makali sana
 
ikiuzwa pesa anapokea nani?
Inawekwa kwenye uwekezaji kama ujenzi wa uwanja na kununua wachezaji wakubwa hata watatu wenye hadhi ya kucheza TP Mazembe,Enyimbe n.k na alisema anataka kununua wachezaji kwa bajeti ya bil.6
 
Inawekwa kwenye uwekezaji kama ujenzi wa uwanja na kununua wachezaji wakubwa hata watatu wenye hadhi ya kucheza TP Mazembe,Enyimbe n.k na alisema anataka kununua wachezaji kwa bajeti ya bil.6
Mkuu hukuungana na wale jamaa Die Hard Simba SC Fans waliotaka kumchapa makofi Hasn Poppe ile Jana!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…