Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itachezwa taifa. Kwa sasa viwanja vya dar viko kwenye maandalizi ya michuano ya under 17. Ila mechi ya simba vs mazembe itakuwa taifa.Kwa nini mechi ya Simba inachezwa Morogoro na sio Uwanja wa Taifa wakati Simba ndio mwenyeji?
Je mechi dhidi ya TP Mazembe itachezwa huko huko?
Sijaelewa, kama unatuuliza, au unatujuza!Kwa nini mechi ya Simba inachezwa Morogoro na sio Uwanja wa Taifa wakati Simba ndio mwenyeji?
Je mechi dhidi ya TP Mazembe itachezwa huko huko?