Simba vs TP Mazembe kuchezwa Jamhuri Stadium Morogoro

Salt Bae

Senior Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
140
Reaction score
196
Kwa nini mechi ya Simba inachezwa Morogoro na sio Uwanja wa Taifa wakati Simba ndio mwenyeji?

Je mechi dhidi ya TP Mazembe itachezwa huko huko?
 
Itachezwa taifa. Kwa sasa viwanja vya dar viko kwenye maandalizi ya michuano ya under 17. Ila mechi ya simba vs mazembe itakuwa taifa.
 
Back
Top Bottom