Simba vs ura

Simba vs ura

Gamaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2008
Posts
3,915
Reaction score
5,038
Wadau hii mechi mbona mmeichunia sana tunaomba updates zenu pls hasa mliopo uwanjani, nasikia mpaka sasa dakika ya sita simba 1 URA 0.

Naomi updates tafadhali mi sipo uwanjani na nana kimya
 
Daah naona siasa imekaba kila sehem hamna yoyoteuwanjani JF jamani
 
Dakika ya 46 simba 1 URA 1
 
Nacheki game,simba 1 ura1 simba kafunga anaitwa kevin.sasa ni dk72,
 
Back
Top Bottom