Mh!! Kazi ipo, naanza kushangilia Azam sasa
...wala sikulaumu!
tangu napata fahamu zangu mimi mpenzi wa Simba -Taifa Kubwa, mara ya mwisho kushangilia simba ilikuwa enzi zile;
Mwameja/Iddi Pazi, Kassongo Athumani, Kassanga Bwalya, Jamhuri Kihwelu, George Masatu, Husseyn Marsha, Bakari Iddi, Ramadhan Lenny, Damian Kimti, Itutu Kigi, Mzee wa Kiminyio, Edward Chumila, Gebo Peter,...
Enzi hizo Simba, Simba kweli...
TAIFA KUBWA...! tangu 1999 sijui habari zao tena
...inasikitisha sana maendeleo ya hili chama!
🙁 bora nijiliwaze na
ze Gunners tu huku uzeeni!