Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi mapumziko matokeo yalikuwa Simba 1 Vouncouver 2
simba imelala kwa bao 2-1
Tatizo Maximo......Simba wamejitahidi sana kufungwa 2- 1 tu!! Hongereni watani zetu wa Msimbazi
Huyo MAXIMO anafundisha Simba?Tatizo Maximo......
Mh!! Kazi ipo, naanza kushangilia Azam sasa
Nafasi ya Pili tutaipata tu...Mtibwa ni zuri kuliko unavyo fikilia hata yebo yebo ambae kafanya usaji wa kufuru hapa bongo anaitambua...Mungu ibariki simba iweze kupata nafasi ya kuwakilisha Taifa maana ndiyo timu tunayo iamini mechi za nje....Simba wameangukia pua kwa Mtibwa 1-0
Vipi watani Simba kuna nini?
Nani mchawi??