Simba vs Yanga April 19, 2009

Simba vs Yanga April 19, 2009

sasa mkuu mbona kuna thread ingine kule? tutachanganyikiwa sisi presha juu
 
Chuji leo game limemkataa na anatolewa na nafasi yake inachukuliwa na Nurdin Bakari, Yanga wanapata free kick na kupaisha pale
Bado Simba 1 Yanga 0 dakika ya 35
 
Yanga wanakosa lisawazisha. Ambani alibakia yeye na kipa. akapiga kipa akacheza, ikawa kona
 
Simba wanapata free kick, Wilson Ndlovu anapewa kadi ya njano, Yanga wanapiga counter attack wanakosa bao hapa ni kona
 
naonekana yanga wamerelax sana, nadhani hawana pressure kwa sababu wanacheza kulinda heshima tu na si kutafuta ubingwa, lakini bado ngoma ni tamu kwelikweli
 
naonekana yanga wamerelax sana, nadhani hawana pressure kwa sababu wanacheza kulinda heshima tu na si kutafuta ubingwa, lakini bado ngoma ni tamu kwelikweli
 
Nyoso analambwa kadi ya njano lakini barasa anashindwa kuitumia vema free kick
 
Yanga wanapata free kick mita 35 toka langoni mwa Simba na wanapaisha pale mpira unakaribia half time baso Simba wako mbele kwa bao 1
 
Yanga mnaboa funga mnyama huyu, furaha zetu za jana msiharibu Eboooo! si mliona Chelsea?
 
Hahahahahahah invisible ....kumbe ni mtani kwa ligi ya nyumbani....anyway tumewatanguliza na baiskeli ya miti!
 
Ben Mwalala anaisawazishia Yanga, dakika za mwanzomwanzo za kipindi cha pili
 
Henry Joseph analimwa kadi ya njano, alikuwa anabishana na mwamuzi
 
Baiskeli ya miti haifikishi safari! Simba mpooooooo?
 
Back
Top Bottom