Sekenke
Senior Member
- Mar 3, 2008
- 132
- 30
Dakika ya 92 inakwenda hiyo... Dah
YANGA WAMESAWAZISHA!
Alhamdullilah (Sijui nimepatia...)
Duuh, wekundu (wa/m)ngechonga sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika ya 92 inakwenda hiyo... Dah
YANGA WAMESAWAZISHA!
Hahahaha,
Kuna wawakilishi wetu kule wawili wanaofahamika kwa majina yao mkuu. Simba na Chelsea zikiwa zinacheza huwa sina ratiba mbadala!
Heheeeeeeeeeeee
Mpira umekwisha Simba 2 - Yanga 2
Duh! 🙁 Bahati yao wamechomoa dakika za mwisho, mganga kaogopa kumeza goli sita kameza 5 tu ha ha ha
Raha ya upinzani hiyo yakhe!Tatizo mnaongea sana,yaani hata kabla mpira haujaisha mshaanza kujipa matumaini ya CAF...Lol
Ha ha ha Bala umeibukia wapi ha ha ha naona umefufuka hongera 🙂
Dakika ya 92 inakwenda hiyo... Dah
YANGA WAMESAWAZISHA!
Acha masihara mkuu, tumesawazisha?
Watani wa jadi bora hiyo draw iwatulize kwa leo hamna kuchonga sana!..hivi JF wengi ni Yanga??