Ni hatar sanaYaani wamepinda hasa.
Ndio hapo sasa Sesten labda wamewageuza bidhaa.
Uzuri ni kwamba panapo majaaliwa yake Mungu umebakia mda mchache tu tukate mzizi wa fitinaHahahaaa. Hiki hapa. Zero njoo ukate huku. ππππ
Hahahaaaa. Ndio kazi ya mdomo hiyo Sesten. Wacha Yanga tutambe. πππππππ
Makoa ngome au??Mkuu nipo makao ila nitautizama mubashara through screen kubwa hapa baa ya cape town .
DooooLeo mnyama lazima akae na beberu lao
Hii mechi leo matokeo ni 1-1
Anayebisha aje tupinge ila kupinga huko mwisho 16:00Hrs
πππππ
Jinsi unavyomsifia na anavyoonekana sasa.MunyamaaaaaaaaaaaView attachment 882064
Aungurumapo Simba mcheza nani?MunyamaaaaaaaaaaaView attachment 882064
Tunashinda 2 bilaHii mechi leo matokeo ni 1-1
Anayebisha aje tupinge ila kupinga huko mwisho 16:00Hrs
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Acha utani yaani kamoja tu? Simba 3 Yanga 1Niko hapa Simba 1 yanga 0
mfungaji Kagere
Kama wanavojifariji YangaHaya endeleeni kujifariji
Naam nimefika mtani vipi umeshajiandaa na litakalotokea taifa?Hahahaaa. Ngoja niwaite.
Sesten Zakazaka Ghazwat , sembo , Sapta Sapta , aretasludovick , kuku mweus , OKW BOBAN SUNZU njooni huku Watani zangu.
Aisee yanga lazima washikwe na tumbo la kuharaMunyamaaaaaaaaaaaView attachment 882064