Simba Vs Yanga fans betting

Simba Vs Yanga fans betting

Hahahaaa. Hiki hapa. Zero njoo ukate huku. 😂😂😂😂

Hahahaaaa. Ndio kazi ya mdomo hiyo Sesten. Wacha Yanga tutambe. 💃💃💃💃💃💃💃
Uzuri ni kwamba panapo majaaliwa yake Mungu umebakia mda mchache tu tukate mzizi wa fitina

Haya tumepinga na shahidi bahati nzuri ni Yanga mwenzio
 
Munyamaaaaaaaaaaa
IMG_20180928_095250_471.JPG
 
Back
Top Bottom