Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kuna haja hao wanawake wapimwe damu... sio bureKuna watu wamepinda hadi raha aisee
Hivi na hao wanawake wanakua kama bidhaa tu?Yaani watakua kimya na kukubalikubadilishwa kama nyanyana vitunguu?
Ewaaaa. Afadhali umeongezea nyama Mkuu.Ni 2-1 yanga inashinda. Magoli ya yanga kipindi cha kwanza simba watapata bao kipindi cha pili.
Source - Babu wa mafia
Saaafi sana Best.Tunashinda 2 bila
Hahahaaa. Nijiandae mara ngapi Mtani niko kamili hapa maana najua furaha iko njiani.Naam nimefika mtani vipi umeshajiandaa na litakalotokea taifa?
Hahahaaa. Ameshaona hapa nikazie tu Baba Samsung.Tena mwambie matokeo ni.
View attachment 882331
Vyovyote itakavyokua hii gemu tunashinda.Saaafi sana Best.
Na iwe kweli japokuwa hizi mechi sijawahi zielewa waeza shangaa mpira ukawa mbooovu kupindukia.
Hahahaa. Bora uwakumbushe aisee maana hawachelewi hao.Mama samsung tunawakumbusha tu kidogo wasije wakafanya leo Magu atawatia Jera wote.
View attachment 882321
Leo wataisoma bado masaa machache tu game linaanza kumi na moja kamili.Hahahaaa. Ameshaona hapa nikazie tu Baba Samsung.
NAKAZIA. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuelewa best.Vyovyote itakavyokua hii gemu tunashinda.
Bado kidogo kumbe.Leo wataisoma bado masaa machache tu game linaanza kumi na moja kamili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kula likeeeeeeeeeeeeeeeYanga anashinda 4-1.
ππππ wataipata pata. πππSafari hii wakifanya tena ule umatopeni wao jiwe anawatia jera.