Simba Vs Yanga fans betting

Simba Vs Yanga fans betting

[emoji12][emoji12][emoji12]
IMG_20180930_121131_600.jpeg
 
Mimi Oxxedo kutoka Vuatulole Moro naitakia Yanga ushindi wa Bao mbili..........
 
Hahahaaa. Ameshaona hapa nikazie tu Baba Samsung.

NAKAZIA. [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo wataisoma bado masaa machache tu game linaanza kumi na moja kamili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaa. Bora uwakumbushe aisee maana hawachelewi hao.

Sababu wanakuja na matokeo mfukoni yakiwa tofauti hasira zinaishia kwenye viti. Teh teh teh.
Safari hii wakifanya tena ule umatopeni wao jiwe anawatia jera.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wataipata pata. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom