madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
We ni mdundiko mzalam na mpira wap na wapHii mechi leo matokeo ni 1-1
Anayebisha aje tupinge ila kupinga huko mwisho 16:00Hrs
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni mdundiko mzalam na mpira wap na wapHii mechi leo matokeo ni 1-1
Anayebisha aje tupinge ila kupinga huko mwisho 16:00Hrs
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Wapi wanajangwani wenzangu
Southern Highland , Prince Kunta, @NumbisaNumbisa, Songa Heri , wamaukweli , zeshchriss , Zamaulid , Samboko , Beira Boy ,Mgagaa na Upwa, Frank Wanjiru , baba swalehe , Joseverest , Sibonike , DellaPina.
Njooni tumkate mtu Mkia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwiii. Kumbe Hajar Mzaramo. Teh teh teh.We ni mdundiko mzalam na mpira wap na wap
Hahahaaa. Huyo shemeji naye.Joseverest nasikia kaoa siku hizi shemeji ndio anacontrol simu yake.
Hahahaaa. Na mie nasikiaga eti Baba Samsung.Nasikia kuna mwali alichezwa alafu wakwe wakapikiwa wali maharagwe walichamba ukoo mzima.
Unajikataaa semaUwiii. Kumbe Hajar Mzaramo. Teh teh teh.
Leo siku ya Mpira kesho narudi mdundikoni. [emoji23][emoji23][emoji23]
Unawakimbia leoHahahaaa. Na mie nasikiaga eti Baba Samsung.
Mie sio Mzaramo bana acha naye huyo madindigwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa. Lol.Unajikataaa sema
HahahahaHii mechi leo matokeo ni 1-1
Anayebisha aje tupinge ila kupinga huko mwisho 16:00Hrs
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Kaka kaka kaka Mmekumiss jamaani.Hahahaha
ASANTE MKUU...bas ntakufata pm baada ya gameMkuu mi sitaki cha dhuluma tubeti buku 5 kwa buku 5 tu inatosha .
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Matokeo ya leo
Simba viti 48 - yanga viti 0
Matokeo Yanga 3_Simba 0Hii mechi leo matokeo ni 1-1
Anayebisha aje tupinge ila kupinga huko mwisho 16:00Hrs
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]