Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AISEEE INGEKUWA KWELI SAWAJoseverest nasikia kaoa siku hizi shemeji ndio anacontrol simu yake.
teh teh teh mkuu haya aiseeNaona umeachiwa simu yako leo tulisema humu mademu wa Tanga noma usijaribu umeona sasa kilichokutokea?
asante dada baada ya dakika kumi nakupigia mpenzUmeonaeee. Yaani nlivyoona like tu moyo wangu ukashituka na kutetemeka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya pole kwanza mdogo wangu.
Usijali mdogo wangu nasubiria nduguyako.asante dada baada ya dakika kumi nakupigia mpenz
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
sawa dadaUsijali mdogo wangu nasubiria nduguyako.
Watu na wadogo zao😛😛😛Umeonaeee. Yaani nlivyoona like tu moyo wangu ukashituka na kutetemeka. 😂😂😂😂
Haya pole kwanza mdogo wangu.
Hongereni mabinti wa Kitanga
Umeonaeeee. Na sie twaifuata hiyo kawaida vile itakavyo Sesten.Hongereni mabinti wa Kitanga
Kawaida yenu kudeka na kupendana
Niko mbele yako nakazia HajarUmeonaeeee. Na sie twaifuata hiyo kawaida vile itakavyo Sesten.
Maisha hayajawahi kua rahisi ukhutynipo maisha tu magumu @stesten Zakazaka
Naomba matokeo ya leo na mbaoUmeonaeeee. Na sie twaifuata hiyo kawaida vile itakavyo Sesten.
Hahahaaaa. Mbao tumeiranda mara mbili Kaka. 😀😀😀😀Naomba matokeo ya leo na mbao