OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hakuna ubishi uwezo wa timu hizi mbili unadhibitisha matokeo ya mechi ya Simba Vs Yanga hiyo January,2019. Yanga inakwenda kula vitasa vya nguvu.
Yanga imeonyesha kiwango hafifu sana na mashabiki wameonyesha hofu na kukosa imani na kikosi. Hali hii ni tofauti kabisa na kikosi cha Simba.
Simba yenye kikosi hatari kinachocheza mpira wa kitabuni,imekuwa na uhakika wa kushinda mchezo.
Katika mechi tatu ilichocheza hivi karibuni wamefunga goli 12 huku ikicheza soka la kuvutia.
Ni dhahiri Yanga inategemea zaidi ndondokela na sio uwezo wa kufunga kwa mbinu.
Kwa uwezo wa timu hizi kwa sasa,naziona kabisa tano bila zileeeeeeeeeeeeee
ONYO
Kwa mashabiki wa Yanga wenye tabia za kuweka wake zenu rehani. This time hatua msalia mtume,mkeo tutamchukua