hometown
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 939
- 1,311
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu kama hicho Mtani yaani mkicheza vizuri sana basi suluhu inahusika.
Yanga bardi sana pili waonga kinyama hawajiamin kabsaHivi kwanini Yanga hawaweki thread za mechi siku wanayochweza kama leo humu JF ?
Au wanasubiri hadi washinde ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tarehe 4 ni JmosiMechi ni siku gani?
Kama ni jmosi basi Yanga atachezea, jpili Simba atachezea, katikati ya wiki droo
Alisikika mbumbumbu akisemaView attachment 1306684
Hakuna ubishi uwezo wa timu hizi mbili unadhibitisha matokeo ya mechi ya Simba Vs Yanga hiyo January,2019. Yanga inakwenda kula vitasa vya nguvu.
Yanga imeonyesha kiwango hafifu sana na mashabiki wameonyesha hofu na kukosa imani na kikosi. Hali hii ni tofauti kabisa na kikosi cha Simba.
Simba yenye kikosi hatari kinachocheza mpira wa kitabuni,imekuwa na uhakika wa kushinda mchezo.
Katika mechi tatu ilichocheza hivi karibuni wamefunga goli 12 huku ikicheza soka la kuvutia.
Ni dhahiri Yanga inategemea zaidi ndondokela na sio uwezo wa kufunga kwa mbinu.
Kwa uwezo wa timu hizi kwa sasa,naziona kabisa tano bila zileeeeeeeeeeeeee
Abda wanapasiana mabeki
Well said mkuu, gongowazi tano haziepukikiView attachment 1306684
Hakuna ubishi uwezo wa timu hizi mbili unadhibitisha matokeo ya mechi ya Simba Vs Yanga hiyo January,2019. Yanga inakwenda kula vitasa vya nguvu.
Yanga imeonyesha kiwango hafifu sana na mashabiki wameonyesha hofu na kukosa imani na kikosi. Hali hii ni tofauti kabisa na kikosi cha Simba.
Simba yenye kikosi hatari kinachocheza mpira wa kitabuni,imekuwa na uhakika wa kushinda mchezo.
Katika mechi tatu ilichocheza hivi karibuni wamefunga goli 12 huku ikicheza soka la kuvutia.
Ni dhahiri Yanga inategemea zaidi ndondokela na sio uwezo wa kufunga kwa mbinu.
Kwa uwezo wa timu hizi kwa sasa,naziona kabisa tano bila zileeeeeeeeeeeeee
Kwani nyie si mna uhakika Wa kupata matokeo kwa kina kmc,lipuli nk? Sisi tuna uhakika Wa kupata matokeo kwenu kuliko kwa vitimu vidogo vinavyotukamiaTatizo ni kiwango chenu kwa sasa, hamna tofauti na timu ya Arsenal (mashabiki wa Arsenal namitaka radhi kwa hili)
Yanga kwa sasa haina uhakika wa kupata matokeo kwenye mechi zake, na kudhihirisha hilo kwenye michezo yake miwili inayofuata itaambulia point moja tu.
Kila lakheri Shadeeya
Kila lakheri Biashara united
Hii yanga ya majitu hatari kama Kiakala,Nchimbi,Yirpe,makame,n.k haihitaji unajimu ndugu!Mechi ni siku gani?
Kama ni jmosi basi Yanga atachezea, jpili Simba atachezea, katikati ya wiki droo
Umeanza kushabikia Yanga au Simba mwaka gani mkuu?Hii yanga ya majitu hatari kama Kiakala,Nchimbi,Yirpe,makame,n.k haihitaji unajimu ndugu!
tukupe mfano uliknaje mechi ya man city vs man u. Halafu ndo ufute huo uropokaji wakoView attachment 1306684
Hakuna ubishi uwezo wa timu hizi mbili unadhibitisha matokeo ya mechi ya Simba Vs Yanga hiyo January,2019. Yanga inakwenda kula vitasa vya nguvu.
Yanga imeonyesha kiwango hafifu sana na mashabiki wameonyesha hofu na kukosa imani na kikosi. Hali hii ni tofauti kabisa na kikosi cha Simba.
Simba yenye kikosi hatari kinachocheza mpira wa kitabuni,imekuwa na uhakika wa kushinda mchezo.
Katika mechi tatu ilichocheza hivi karibuni wamefunga goli 12 huku ikicheza soka la kuvutia.
Ni dhahiri Yanga inategemea zaidi ndondokela na sio uwezo wa kufunga kwa mbinu.
Kwa uwezo wa timu hizi kwa sasa,naziona kabisa tano bila zileeeeeeeeeeeeee
ONYO
Kwa mashabiki wa Yanga wenye tabia za kuweka wake zenu rehani. This time hatua msalia mtume,mkeo tutamchukua
Hawa walioruhusu goli nane Kwenye mechi kumi na moja walizocheza na defence iliyoruhusu goli 3 Kwenye mechi 12 yupi ana beki boraYanga ina defence imara, Lamine Moro, Yondani, Dante, sioni yule mzee asiekuwa na mbio anaesubiri magoli ya kuvizia Kagere akifanya lolote, simba wakijitaidi sana wataambulia droo.
Rekebisha kidogo ni January 4 2020 na sio January 4 2019View attachment 1306684