Simba Vs Yanga,January 4: Show ya 5 bila kujirudia

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Hakuna ubishi uwezo wa timu hizi mbili unadhibitisha matokeo ya mechi ya Simba Vs Yanga hiyo January,2019. Yanga inakwenda kula vitasa vya nguvu.

Yanga imeonyesha kiwango hafifu sana na mashabiki wameonyesha hofu na kukosa imani na kikosi. Hali hii ni tofauti kabisa na kikosi cha Simba.

Simba yenye kikosi hatari kinachocheza mpira wa kitabuni,imekuwa na uhakika wa kushinda mchezo.

Katika mechi tatu ilichocheza hivi karibuni wamefunga goli 12 huku ikicheza soka la kuvutia.

Ni dhahiri Yanga inategemea zaidi ndondokela na sio uwezo wa kufunga kwa mbinu.

Kwa uwezo wa timu hizi kwa sasa,naziona kabisa tano bila zileeeeeeeeeeeeee


ONYO
Kwa mashabiki wa Yanga wenye tabia za kuweka wake zenu rehani. This time hatua msalia mtume,mkeo tutamchukua
 
Siku zote huwa kuandika ni rahisi mnoo ila njoo kwenye uhalisia sasa wa mechi za simba ya Yanga zinavyokuwa Uwanjani ni tofauti kabisa.

Niseme tu mujimwambafai ila sio kwa kiwango hicho. Goli tano? πŸ€”πŸ€”πŸ€”

#mojatulinawatosha

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
 
Aiseeee
 
Liverpool wanapiga mijipasi???lakini makombe yote wanachukua..kipa Kabwili hamjafunga goli tano..itakuwa Shikalo
 
Ndio. Watani zangu mnajinadi sana Mtani utadhania Yanga ni timu ya Daraja la III. Lol
Tatizo ni kiwango chenu kwa sasa, hamna tofauti na timu ya Arsenal (mashabiki wa Arsenal namitaka radhi kwa hili)
Yanga kwa sasa haina uhakika wa kupata matokeo kwenye mechi zake, na kudhihirisha hilo kwenye michezo yake miwili inayofuata itaambulia point moja tu.

Kila lakheri Shadeeya
Kila lakheri Biashara united
 
Nipo Mtani naitunza hii kauli. Kesho nitarudi.

Usije yakana maneno yako. Na game ya jioni tunashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…