Simba Vs Yanga,January 4: Show ya 5 bila kujirudia

Yanga ni sawa na muembe uliyo nyuma ya nyumba, ukitaka kula maembe ni muda wowote ule.
 
Mechi ni siku gani?

Kama ni jmosi basi Yanga atachezea, jpili Simba atachezea, katikati ya wiki droo
 
Alisikika mbumbumbu akisema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said mkuu, gongowazi tano haziepukiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga ina defence imara, Lamine Moro, Yondani, Dante, sioni yule mzee asiekuwa na mbio anaesubiri magoli ya kuvizia Kagere akifanya lolote, simba wakijitaidi sana wataambulia droo.
 
Kwani nyie si mna uhakika Wa kupata matokeo kwa kina kmc,lipuli nk? Sisi tuna uhakika Wa kupata matokeo kwenu kuliko kwa vitimu vidogo vinavyotukamia
 
Mechi ni siku gani?

Kama ni jmosi basi Yanga atachezea, jpili Simba atachezea, katikati ya wiki droo
Hii yanga ya majitu hatari kama Kiakala,Nchimbi,Yirpe,makame,n.k haihitaji unajimu ndugu!
 
Hivi ikitokea
Ibrahim Ajibu akaifunga goli Yanga je
Atashangilia ?
Maana sidhani kama atajisikia vizuri kuwaudhi Yanga.
Naomba Jibu toka kwa Ajibu mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tukupe mfano uliknaje mechi ya man city vs man u. Halafu ndo ufute huo uropokaji wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga ina defence imara, Lamine Moro, Yondani, Dante, sioni yule mzee asiekuwa na mbio anaesubiri magoli ya kuvizia Kagere akifanya lolote, simba wakijitaidi sana wataambulia droo.
Hawa walioruhusu goli nane Kwenye mechi kumi na moja walizocheza na defence iliyoruhusu goli 3 Kwenye mechi 12 yupi ana beki bora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rekebisha kidogo ni January 4 2020 na sio January 4 2019

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…