Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Asante mwanahistoria... sasa baada ya historia fupi ya timu zote, nani atashinda?π
Historia inasema Yanga ya Mabondeni Jangwani haijawahi kuifunga Simba ya Mjini Msimbazi ktk uwanja wa mpya wa taifa.
Hivyo mi nadhani historia itasimama mpo?
Historia inasema Yanga ya Manji na mafisadi wenzake haijawahi kuifunga Simba ya msimbazi kwa miaka kadhaa sasa ktk uwanja wowote ule.
Hivyo mi nadhani historia itasimama kama ilivyo more than 10 yrs.....mpo?
Mpwa uswahiba wako na masa kumbe uko kwenye mambo mengi.
Historia inasema Yanga ya Tanzania haijawahi kufungwa na Simba ya Ilala ktk uwanja wa mpya wa taifa.
Hivyo mi nadhani historia itasimama kama ilivyo more than 10 yrs.....mpo?
Hizi data unazitoa wapi wewe? Au unazi tu?
Asante mwanahistoria... sasa baada ya historia fupi ya timu zote, nani atashinda?π
Kama kawa Yanga 1 Simba 0
Akidaka KAseja idadi ya magori itaongezeka.
Mpwa kesho tusikimbiane.
BEKI kisiki wa zamani wa Yanga, ambaye anaichezea Vancouver Whitecaps ya Canada, Nadir Haroub 'Cannavaro' ametua nchini na kusema," Yanga itaifunga Simba.
Hehehe na wewe usikimbie maana lolote laweza kutokea.Umeona kauli ya Mpemba hiyo?
Sitakimbia mpwa, mi mvumilivu. Huyo shemeji yake masanilo naye amekuwa sheikh yahya siku hizi?
"Tukiingia tu uwanjani tutashinda goli moja dakika za mwanzo na kipindi cha pili tena tutashinda la pili dakika za mwanzo halafu basi na matokeo ndio yatakuwa hivyo dakika tisini," alisema Papic huku akionyesha uchangamfu na akiwa mwenye hamu kubwa ya mchezo.
simba bingwa!mechi ya leo ni kama kula denguπ
hahahaha!yupo macho.leo naona anatoboa ozone.ana mtihani jumatatuπHahaha! Dengu itamfaa sana masa na toto lake la kizenji. Naye si yanga yule? Naona bado kuamka.
ila mlichomoaHistoria inasema Yanga ya Tanzania haijawahi kufungwa na Simba ya Ilala ktk uwanja wa mpya wa taifa.
Hivyo mi nadhani historia itasimama kama ilivyo more than 10 yrs.....mpo?
wewe leo utabaki mdomo wazi na historia zako...Yanga ilianzishwa mwaka 1935 chini ya wazalendo halisi wapaa samaki na wafua nazi waliokuwa wakijikusanya mida ya jioni na kuanzisha harakati za kudai uhuru.
Hivyo unavyoizungumzia Yanga unatakiwa usimame kabla kwa dk moja kisha uendelee.
Na unapozungumzia uhuru wa taifa basi usisite kuitaja Yanga kwa namna moja ama nyingine.
Ukija kwa upande wa simba...timu hii ilianzishwa na wakoloni wa kiarabu waliokuwa wakishinda kutwa nzima na misuli viunoni huku wakiwatesa babu zetu.
na ndio maana wana tabia zote za kiarabu kwani mpk leo hawana hata uwanja wa mazoezi wanadandiadandia tu kama waarabu wanavyodandia magorofa ya msajili.
Sforza Yanga
Hii thread naona wamejaa Simba tu bora nisepe.
kafungue YANGA SPESHO THREDI!π
tunamfuata huko huko!wapwa in the makingπNa hiyo ataikimbia pia.