Yanga ilianzishwa mwaka 1935 chini ya wazalendo halisi wapaa samaki na wafua nazi waliokuwa wakijikusanya mida ya jioni na kuanzisha harakati za kudai uhuru.
Hivyo unavyoizungumzia Yanga unatakiwa usimame kabla kwa dk moja kisha uendelee.
Na unapozungumzia uhuru wa taifa basi usisite kuitaja Yanga kwa namna moja ama nyingine.
Ukija kwa upande wa simba...timu hii ilianzishwa na wakoloni wa kiarabu waliokuwa wakishinda kutwa nzima na misuli viunoni huku wakiwatesa babu zetu.
na ndio maana wana tabia zote za kiarabu kwani mpk leo hawana hata uwanja wa mazoezi wanadandiadandia tu kama waarabu wanavyodandia magorofa ya msajili.
Sforza Yanga