Simba vs Yanga: Kinachoenda kutokea kesho Kigoma

Simba vs Yanga: Kinachoenda kutokea kesho Kigoma

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Wao wasioamini kinachoenda kutokea keshooo Kigoma.

Wale wa betting mnaweza kula hela hii. Htft Yanga/Yanga, ama htft Simba/Yanga

Red kad itakuwepoo kuwaondoa mchezoni Yanga

Lakini ft Yanga ataibuka na ushindi

Wafungaji wa Yanga n kati ya hawa

Mukoko
Kaseke
Yakubu

Kipndi cha pili ni kibaya sana upande wa Simba haijawahi kutokea

Imani za kishirikina zitaouwepo pande zote mbili kabla ya mechi ingawa mechi imechezwa usiku wa kuamkia leo na mshindi ni Yanga

Kila la kheri
 
Simba inaenda kumpiga Uto na kuudhihirishia umma kuwa 'Yanga atashiriki michuano ya kimataifa mwaka 2021/2022 kwa njia ya ASANTE SIMBA (kupakatwa na Simba)'

Japo Yanga watatafuta kutengua hoja hiyo ☝,ila sisi Simba tumedhamiria kuithibitisha kwa kumchapa Uto.
 
Awamu hii mbumbumbu wamenywea kweli kweli!! Kama hawapo vile 😁😁😁😁 Hakuna vijembe wala kejeli kama walivyo zoea kutufanyia wananchi kabla ya mechi.
 
Acha kuota wewe uto hii ya kina kisinda wazee wa mbio.
 
Mpiga ramli kumbe ulianzisha thread nyingi ili ukikosea moja upatie nyingine, kawadanganye utopolo wenzio, hujui kitu.
 
Back
Top Bottom