Simba vs Yanga kukutana Robo Fainali? Zimesalia dakika chache majibu yapatikane

Simba vs Yanga kukutana Robo Fainali? Zimesalia dakika chache majibu yapatikane

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Bado muda mfupi kujua wapinzani wa Simba na Yanga katika Hatua ya Robo Fainali na Nusu Fainali ya Azam Federation Cup.

Kuna uwezekano pia hata wa wababe hao wa Kariakoo kukutana wao kwa wao. Droo inachezeshwa leo Februari 21, 2022 saa tano asubuhi.

274313998_967969630515844_3981352401822954344_n.jpg
 
Waletewalete, walete tuwachape wakaseme vizuri kwa mama.
 
Simba vs Pamba
Yanga vs Geita gold
Azam vs Police Tz
 
Simba vs Pamba
Yanga vs Geita gold
Na mshindi wa mechi hizo za juu wanakutana Nusu fainali. Hivyo kuna uwezekano mkubwa Simba na Yanga zikakutana mapema nusu fainali.
 
Na mshindi wa mechi hizo za juu wanakutana Nusu fainali. Hivyo kuna uwezekano mkubwa Simba na Yanga zikakutana mapema nusu fainali.
Watakutana, uwezekano ni mkubwa
 
Back
Top Bottom